Andika Maelezo yako hapo juu kisha bonyeza tafuta kuanza kutafuta uhifadhi wako.
Utaulizwa mawasiliano yako na taarifa zako.(Hakuna Ulazima wa Kusajili Akaunti.)
Unaweza kulipia kwa Kadi au Simu kupitia njia yoyote salama ya Malipo.
Baada ya Malipo Kukamilika, ndani ya dakika 20 Utapokea barua pepe yenye Tiketi yako.